Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira
NEMC kupitia Mradi wa Kudhibiti Matumizi ya Zebaki kwa Wachimbaji Wadogo wa dhahabu (EHPMP) yatoa mafunzo kuhusu matumizi sahihi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo kwenye Maonesho ya Wiki ya Madini katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango ametembelea banda la NEMC kwenye maonesho ya Wiki ya Madini Tanzania yaliyofanyika katika viwanja vya Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt.Philip Isdory Mpango(katikati) akiwa na viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na Menejiment ya Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Menejimenti ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) mara baada ya kuhutubia kwenye maadhimisho ya siku ya mazingira duniani katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Cnter Dodoma.
Mwenyekiti wa Baraza (NEMC) Profesa Esnat Chaguu( wa nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Baraza mara baada ya kuwasili viwanja vya maonesho vya Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma siku ya Mazingira Duniani.
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Profesa Esnat Chaggu (wa sita kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Baraza na Wadau wa Mazingira mara baada ya kuwasili viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre kwenye maonesho ya siku ya Mazingira Duniani.
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt.Immaculate Sware Semesi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Baraza mara baada ya kuwasili viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma kwenye maonesho ya siku ya Mazingira Duniani
Rushwa haikubaliki Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira
Aina yeyote ya Rushwa haikubaliki NEMC.
Washiriki wa kongamano wakifuatilia mada katika ukumbi wa JNICC Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Immaculate Sware Semesi (mstari wa pili wa saba kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa NEMC mara baada ya kukamilika kwa kongamano la Mazingira lillilofanyika katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Philip Isdory Mpango (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi pamoja na kikundi cha Wanawake na Samia mara baada ya kuhutubia katika Kongamano la Mazingira lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Immaculate Sware Semesi(mwenye kipaza sauti) akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango alipotembelea banda la NEMC Kongamano la Mazingira lililofanyika katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Ofisi ya Mkoa wa Dar es Salaam na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) mara baada ya uzinduzi wa chapisho la nne la hali ya Mazingira ya bahari na Pwani Tanzania hafla iliyofanyika katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaama.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Seleman Jafo akihutubia wakati wa Kongamano la Mazingira lililofanyika katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango (katikati) akifurahia jambo wakati wa Kongamano la Mazingira lililofanyika katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango akihutubia wakati wa kongamano la Mazingira lililoandaliwa na Barazala la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Immaculate Sware Semesi akitoa salamu za Baraza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Mazingira lililofanyika katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam
Kaimu Meneja Forodha wa mpaka wa Tunduma Bw. Kassimu Mhando (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi kutoka NEMC, GCLA, Maafisa Forodha wa mpaka wa Tunduma na Maafisa Mazingira kutoka Mikoa ya Songwe na Mbeya mara baada ya kufungua mafunzo ya usimamizi wa Zebaki yaliyofanyika katika ofisi za mpaka Tunduma Wilaya ya Songwe.
Mwenyekiti wa Chama cha Wachimbaji wadogo Wanawake (TAWOMA) Bi Hamida Mussa (katikati) akipokea zawadi ya mifuko rafiki wa mazingira mara baada ya kupatiwa mafuzo ya matumizi salama ya kemikali ya zebaki kwa wachimbaji wadogo
Mratibu wa Mfuko wa Kimataifa wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi Tanzania Bw. Fredrick Mulinda akitoa somo kwa Nchi 34, namna ya kutekeleza miradi ya mabadiliko ya tabianchi.
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Immaculate Sware Semesi akiwa na timu ya wataalam wa mazingira kutoka mradi wa Bomba la kusafirisha Mafuta Ghafi Afrika Mashariki (EACOP) mara baada ya kikao kazi cha utekelezaji wa mradi huo hususani katika masuala ya Bioanuai (Biodiversity) na Livelihoods restoration kilichofanyika katika Ofisi za NEMC Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa huduma za udhibiti kutoka Ofisi ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bw.Daniel Ndiyo(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi kutoka NEMC, GCLA, Maafisa wa forodha kutoka mpaka wa Sirari na Maafisa Mazingira kutoka Wilaya zenye Uchimbaji mara baada ya kufungua mafunzo ya usimamizi wa Zebaki yaliyofanyika katika Hoteli ya Victorious Palace Mwanza
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Mkakati wa Nishati safi ya kupikia, hafla hiyo imefanyika katika Hotel ya JNICC iliyopo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu NEMC Dkt. Immaculate Sware Semesi (katikati) akiwa na watumishi wa Baraza mara baada ya uzinduzi wa Mkakati wa Nishati safi ya kupikia Jijini Dar es Salaam..
NEMC yashiriki mkutano ulioandaliwa na Mtandao wa Mikoko Ukanda wa Magharibi mwa Bahari ya Hindi ( WIOMN) wenye lengo la kujadiliana andiko la Mpango Mkakati wa Utekelezaji wa Utunzaji wa Ikolojia ya Mikoko. Mkutano huo umefanyika katika Hotel ya Slipway Dar es Salaam.