Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira
Kamati ya kudumu ya Bunge Maji na Mazingira, yaipongeza NEMC kwa usimamizi mzuri wa Sheria ya Mazingira kwenye viwanda.
Mkurugenzi mkuu wa NEMC Dkt Samuel Gwamaka akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa NEMC na wataalamu kutoka kituo cha Sayansi na Mazingira cha India(CSE) mara baada ya uzinduzi wa muongozo wa ukaguzi wa mazingira ulioandaliwa kwa ushirikiano wa NEMC na CSE
Watumishi wa NEMC wakiwa katika picha ya pamoja na waataalmu kutoka kituo cha Sayansi na mazingira cha India mara baada ya kupata uelewa kuhusu masuala ya ukaguzi wa Mazingira.
Watumishi wa NEMC wakiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Garvin Kweka, mtaalamu wa tiba ya afya ya akili kutoka Muhimbili mara baada ya mafunzo yahusuyo uwiano baina ya kazi na afya ya akili yaliyofanyika katika ukumbi wa NEMC Jijini Dar es salaam
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo, akipokea nyenzo za uendelezaji kutoka kwa Mratibu wa mradi Dkt. Befrina Igulu, alipozuru Banda la NEMC maonesho ya sita ya Kimataifa ya Teknolojia ya madini yanayoendelea Mkoani Geita
Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.Dkt. Seleman Jafo akishiriki zoezi la upandaji miti pamoja na watumishi wa NEMC katika eneo maalumu la uwekezaji na mauzo nje ya Nchi lililopo eneo la Bombombili Mkoani Geita
Elimu kwa Umma wakati wa maonesho ya Nanenane
Watumishi wa NEMC wakiwa katika picha ya pamoja kwenye maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane Jijini Mbeya
Elimu ya Mazingira kwa Wawekezaji katika Sekta ya Madini.
Aina yoyote ya Rushwa haikubaliki NEMC
Aina yeyote ya rushwa haikubaliki NEMC
Picha ya pamoja kati ya NEMC na CTI katika mkutano wa pamoja wa kujengeana uelewa na kutoa elimu kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Miongozo ya uzalishaji wa bidhaa zilizokidhi viwango kwa wamiliki wa viwanda vya plastiki na vifungashio kilichofanyika katika Hotel ya Sheratoni Jijini Dar es salaam
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mhe. Dkt. Selemani Jafo, akiwa na wataalamu kutoka NEMC Mkoa wa Ruvuma katika ziara ya ukaguzi wa shughuli za uhifadhi na uchimbaji wa Makaa ya Mawe Wilayani Mbinga
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mhe. Dkt. Selemani Jafo, akiwa na wataalamu kutoka NEMC Mkoa wa Ruvuma katika ziara ya ukaguzi wa shughuli za uhifadhi na uchimbaji wa Makaa ya Mawe Wilayani Mbinga
Pichani ni baadhi ya washiriki wa kongamano lililofanyika katika ukumbi wa JNICC kwa lengo la kujengewa uelewa juu ya athari za sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada
Watendaji wa NEMC wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa mara baada ya kuhutubia kongamano
NEMC yatoa vifaa vya kutunzia taka siku ya maadhimisho ya mazingira Duniani
Watumishi wa NEMC wakiwa katika picha ya pamoja siku ya maadhimisho ya mazingira Duniani
NEMC yakutana na Taasisi za Serikali kuwajengea uelewa kuhusu utekelezaji wa sheria na kanuni zinazohusu udhibiti wa kelele na mitetemo
NEMC wapongezwa na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania kwa kusimamia na kudhibiti kelele na mitetemo
Kongamano la 6 la Kisayansi
Bodi ya Wakurugenzi ya NEMC yatembelea Bandari (TPA) kuangalia suala la Utunzaji na Uhifadhi wa Mazingira