Albamu ya Video

ALICHOKISEMA MKURUGENZI WA NEMC DKT. GWAMAKA KATIKA UKAGUZI WA MAZINGIRA ENEO LA MABIBO - UBUNGO

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Samwel Gwamaka amefanya ziara katika eneo la Shule ya Sekondari Ubungo na maeneo ya jirani ili kujionea miundombinu ya maji taka na namna hatua kali zinaweza kuchukuliwa endapo watabainika wanaokiuka sheria.

Imewekwa: Jun 05, 2020

ZIARA YA WAZIRI ZUNGU, KALEMANI MTERA NA KIDATU

kukagua vyanzo vya maji

Imewekwa: Jun 05, 2020

NEMC YATOA SIKU 30 WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI KUJISAJILI

#MAZINGIRA #NEMC Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linawatangazia wawekezaji wote wanaojihusisha na shughuli za uchenjuaji wa madini ya dhahabu (“vat leaching na elusion plants”) kuwa, kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya Mwaka 2004, Kifungu cha 81 na Kanuni z...

Imewekwa: May 05, 2020

NEMC YATOA SIKU 30 WAWEKEZAJI UCHENJUAJI MADINI KIJISAJILI

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa siku 30 hadi tarehe 15 June 2020 wawekesaji wote wa shughuli za uchenjuaji madini kuhakikisha wamejisajili.

Imewekwa: May 05, 2020

NEMC YATOA ONYO KWA WAFANYABIASHARA WA VYUMA CHAKAVU WASIOFUATA SHERIA

Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dkt. Samuel Gwamaka amesema Baraza litachukuwa hatua kwa wale wote wanaofanya kazi za vyuma chakavu hapa nchini kinyume na sheria ikiwa ni pamoja na kuchochea uharibifu wa miundombinu.

Imewekwa: Apr 21, 2020

DKT. GWAMAKA AKIELEZA TARATIBU ZA KUFUATA KWA WANAOSAFIRISHA NA KUINGIZA VYUMA CHAKAVU

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi za Mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka amesema kuwa yeyote anayetaka kusafirisha ama kuingiza vyuma chakavu nchini anapaswa kuomba ridhaa kutoka kwa Waziri mwenye dhamana ya mazingira ambapo atapatiwa fomu ya kujaza ili waweze kujiridhisha usalama wa se...

Imewekwa: Apr 21, 2020